sw
R. Mtobwa

Pesa Zako Zinanuka

Notify me when the book’s added
To read this book, upload an EPUB or FB2 file to Bookmate. How do I upload a book?
Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake, ‘No Money Smells’, kwamba hakuna pesa zinazonuka. Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai “zipo, na zanuka”. Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga, huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi. Hata anakutana na huyu ambaye anaambiwa: “Umemuua mwanao… Lazima umle … ” Ni riwaya ambayo itakutoa machozi!
This book is currently unavailable
151 printed pages
Original publication
1984
Publication year
1984
Have you already read it? How did you like it?
👍👎
fb2epub
Drag & drop your files (not more than 5 at once)