sw
A. Happy Umwagarwa

Mioyo Miongoni Mwetu

Notify me when the book’s added
To read this book, upload an EPUB or FB2 file to Bookmate. How do I upload a book?
Karabo amepona mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi mwaka 1994 ambayo yaliyatwaa maisha ya baba yake na wadogo zake. Sasa ameachwa peke yake miongoni mwa mioyo iliyojeruhiwa nchini Rwanda, na hafahamu mahali alipo mama yake.


Karabo alipokwenda kuishi na baba yake mkubwa, ambaye ni kanali kwenye jeshi jipya, anakutana na Shema, mhanga mwingine wa mauaji ya kimbari akiwa miongoni mwa walinzi vijana wa baba yake mkubwa. Tabasamu la Shema linamtetemesha, na Karabo anataka kuusalimisha moyo wake kwake, lakini mambo yanakuwa magumu — Shema anafahamu sehemu tu ya hadithi yake.


Mioyo Miongoni Mwetu ni simulizi ya mapenzi, chuki, na namna vinavyoingiliana. Karabo na Shema, wote wakiwa yatima wanaoomboleza, wanakulia kwenye jamii iliyochanwachanwa — ikitekwa katikati ya ulimwengu wa walio hai na wafu, na migogoro baina ya Wahutu na Watusi.
This book is currently unavailable
330 printed pages
Original publication
2021
Publication year
2021
Have you already read it? How did you like it?
👍👎
fb2epub
Drag & drop your files (not more than 5 at once)