sw
R. Mtobwa

Zawadi ya Ushindi

Notify me when the book’s added
To read this book, upload an EPUB or FB2 file to Bookmate. How do I upload a book?
Mona Lisa, msichana mwenye sura ya malaika na umbo la malkia anafakiwa kuutikisa ujabali wa Joram Kiango hata akakubali kustarehe naye. Joram Kiango anajikuta katika mkasa mzito na wa kutisha, na ambao hajawahi kukutana nao maishani alipokurupuka usiku wa manane na kumkuta Mona Lisa akiwa maiti, tundu la risasi likivuja damu kifuani mwake. Mkasa unazidi kuwa mzito pale Mona Lisa, aliyekufa anapotokea, tena katika kila maficho ya Joram Kiango. Kila anapotokea maisha ya watu wengi wasiokuwa na hatia yanaangamia. Mona Lisa ni binadamu wa kweli? Ni jini au ni malaika? Ni miongoni mwa maswali ambayo nusura yamtie wazimu Joram Kiango, jeshi zima na vikosi vyote vya usalama. Ungana naye Joram kutatua kizungumkuti hiki kiso mwisho.
This book is currently unavailable
78 printed pages
Original publication
1984
Publication year
1984
Have you already read it? How did you like it?
👍👎
fb2epub
Drag & drop your files (not more than 5 at once)