sw
Books
Peter Gotthardt

Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu

Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini.
Vibwengo walilikimbia jeshi la adui, na walilazimishwa kujificha msituni. Deizi akawa rafiki wa Kibwengo mdogo anayeitwa Humulus. Kwa pamoja, wakafanya ugunduzi ambao uliwawezesha Vibwengo kujibu mashambulizi dhidi ya adui. Je, watakuwa na nguvu ya kutosha?
Hiki ni kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vinne vya “Hatima ya Vibwengo.” Visome vitabu vyote katika mfululizo:
Wanajeshi Shupavu
Moyo wa Jabali
Makaburi Yaliyosahaulika
Filimbi ya Kichawi
Peter Gotthardt alizaliwa nchini Denmark karibu na Copenhagen mwaka 1946. Akiwa mtoto alipenda kusoma, na alitumia muda wake mwingi kujisomea katika maktaba za mkusanyiko wa vitabu vya historia na matukio. nnGotthardt ameandika zaidi ya vitabu 60 vya watoto ambapo vingi vimejikita kwenye uwanja wa Vibwengo.
26 printed pages
Original publication
2019
Publication year
2019
Publisher
Saga Egmont
Have you already read it? How did you like it?
👍👎
fb2epub
Drag & drop your files (not more than 5 at once)